Please enter your e-mail address. We will send your password immediately.

Hello Dear! Mimi nalalamika kipimo cha COVID Tanzania ni bei . Kuna hela ya serikari 230,000 unapata control no afu na hospital unayoenda ulipia tena Kama Tmj Elfu 60 .Hosp zingine dollar 70 ukichanganya na ya serikari jamani nyingi😞 Uwiiiiii, why mnalipishwa hela yote hiyo kupima covid?? Hiyo kitu inatakiwa iwe bure jamani. Uwiiii mbona nimestuka sana. πŸ™†πŸ½β€β™€οΈπŸ™†πŸ½β€β™€οΈπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ

 • laura_ashantee 23 days ago

  $100 kama unasafifi

 • chinaobrien 23 days ago

  Ukiwaza kusafiri nje kupimwa hela yote iyo bora nikae tuu wallai

 • zarah_ahemdy 23 days ago

  Hii imemtokea rafiki yangu tena Bei hii ni hapa Dar es salaam ila Znz bei zao ziko chini kadogo hapo alipima katoa hela kubwa na safari akawa amepata matatizo hajasafiri now anataka kusafiri itabidi ator tena hiyo pesa apimwe 😒 @mangekimambi_

 • meckuu 23 days ago

  Yaani inaumiza kweli mpaka wageni washangaa

 • meckuu 23 days ago

  @resty_cosmetics wamepandisha mama sasaiv kwa watu wote uwe mtanzania au Mgeni bei moja

 • asiahamza1018 23 days ago

  @timosa_91 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 • meckuu 23 days ago

  @munalove100 pole muna

 • meckuu 23 days ago

  @reineajir wanalipisha ila sio pesa nyingi Kama kwetu

 • suzan_mushy 22 days ago

  @munalove100 unaogopa nini wakati unapima na pesa za utapeliπŸ˜‚

 • oyakhilome__massawe 22 days ago

  Kwel dollar 100

Show more comments
More Photos From This User See All Photos