Please enter your e-mail address. We will send your password immediately.

Naona kila kona watu wanamtaka Rais kutoa tamko juu ya mikutano ya siasa ambayo dikteta Magufuli aliipiga marufuku. Guys mi naona tuwe na subra kidogo. Mama kaonyesha nia njema ya kurudisha demokrasia I think haya mengine yote yatafata. She can’t do everything in one day. Ndo kwanza ana mwezi mmoja. Huyu mama naamini mikutano ataiachia ila naamini kwa sasa bado anapiga akili jinsi ya kudeal na upinzani baada ya kufungulia mikutano ili wasirudi kuwa strong kama zamani. Yani nahisi anawaza jinsi ya kuwabakiza in the weak state they are in now without uonevu au uvunjwaji wa demokrasia. Mimi hapo kwa ushauri wangu Mama ungemuuliza JK yule ndo bingwa wa ku-weaken upinzani kwa kutumia akili tu bila hata kutumia nguvu, bila kuwakamata, bila kuwafunga, bila kuwanyanyasa. JK aliigawanya Chadema mchana kweupe bila kumuonea mtu kwa kutumia weakness zao tu na tamaa za wachache wao. Siasa ni survival of the fittest. Kila chama huwa kinawaza weak points ya mpinzani wake ili kuwamaliza, JK was a master of this game. Kwahiyo mama kuna njia nyingi sizizo za uonevu utakazoweza tumia kudeal na upinzani ila njia za Magu tunakuomba uachane nazo.

 • mambeapashua 22 days ago

  Namtakia kila la heri mheshimiwa mama Samia suluhu ila napinga maneno ya kwamba avae viatu vya magufuli kwanza vitambana MAMA KANUNUE VIATU VTAKO UENDE MWENDO WAKO usisikilize makelele ya wabunge wahafidhina watakupelekesha mama kumbuka MAMA NI MAMA

 • kwinyara3 22 days ago

  Point

 • sauti_ya_mungu_ 22 days ago

  Mchonganishi wewe huna lolote. Mnacho kitaka kamwe hakitaweza kufanikiwa. Kashakwambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja sasa unavyo jikomba na maneno ya uchochez sijui unachokitak ni nini. Kwa kitendo chako cha kupigania chanjo ya COVID tushang’amua wewe ni nani. Tangu lini wewe ukaitetea CCM kama si uchonganishi tu ituchafulie Nchi kwa uchochezi wako mbaya

 • __s.a.l.m__ 22 days ago

  Acheni KUJIKOSHA, CCM ni ile ile

 • dknowledgedknow 21 days ago

  @elis.anthony.9 ww unajua nn ww mbona chadema hawafanyagi uchaguzi wa mwenyekiti kila cku mwenyekiti huyohuyo ndo kuna demokrasia

 • dknowledgedknow 21 days ago

  @mangekimambi_ na vp kuhusu uchaguzi wa mwenyekiti chadema mbona hawajawai kufanya na kuhusu halima mdee alisema kuna mfumo dume pale vp ndo demokrasia hiyo

 • dknowledgedknow 21 days ago

  na km chadema kuna demokrasia kwa nn zitto kabwe alifukuzwa

 • dknowledgedknow 21 days ago

  @dknowledgedknow na zitto kabwe alisema chadema ni chama kinaendeshwa kisurtani kwa nn alisema vile ikiwa kuna demokrasia

 • msembe01 21 days ago

  Daaaaaaaah mpk huyu bint yuko upande wa mama! Kweli mama ni kiongozi

 • mussa_msella 21 days ago

  @mangekimambi_ Maisha yalivo magumu naamini hata vyama vya upinzani vinashukuru kimoyomoyo kutorusiwa mikutano ya hadhara ya kisiasa.

Show more comments
More Photos From This User See All Photos